Kupatwa huko hutokea wakati mwezi unapoingia katika kivuli cha dunia.
Katika awamu tofauti kupatwa huko kwa mwezi kutafanyika kwa saa tatu na dakika 55.
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionUsiku wa kupatwa kwa mwezi hushirikishwa na uzushi wa kuwepo kwa 'mwezi wa damu' kutokana na rangi yake nyekundu.
Kwa nini unaitwa 'mwezi wa damu'?
Usiku wa kupatwa kwa mwezi hushirikishwa na dhana na wa kuwepo kwa 'mwezi wa damu' kutokana na rangi yake nyekundu.
Hilo linatokana na athari za kutazama miale ya jua katika anga na rangi za machungwa na nyekundu zinazoonekana katika mwezi.
Wakati huohuo , wakati wa kupatwa kwa mwezi mnamo tarehe 27 Julai, mwezi utakuwa mbali na zaidi kutoka kwa dunia.
Kupatwa kwa mwezi mnamo tarehe 27 Julai kutaonekana Ulaya, Afrika, mashariki ya kati , katikati mwa Asia na Australia ikiwa ni maeneo yote isipokuwa kaskazini mwa Marekani.
Hautalazimika kutumia darubini kuutazama mwezi huo.
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionKivuli cha tukio hilo kitaonekana katika setlait bila kuziba mwangaza wote. Nchini Uingereza hautaweza kuona mwanzo wa tukio hilo
Nani atakayeuona vizuri zaidi?
Eneo zuri la kulitazama tukio hilo ni eneo nusu ya Mashariki mwa Afrika ,Mashariki ya kati na katikati mwa bara Asia.
Tukio hilo halitaonekana katika maeneo ya kati na Marekani Kaskazini.
Kusini mwa Marekani , unaweza kuonekana kiasi katika maeneo ya mashariki hususan miji ya Buenos Aires, Montevideo, Sao Paulo na Rio de Janeiro.
Katika miji mingine ya karibu utaonekana wakati mwezi utakapokuwa ukiondoka katika eneo hilo-huo ni mstari ambao ardhi na anga zinaonekana kukutana.
Tetesi za soka Ijumaa 27.07.2018: Perisic, Martial, Alderweireld, Vida, Morata
Manchester United bado ina matumaini kusaini mkataba na winga wa Milan Ivan Perisic mwenye umri wa miaka 29 na itamuuza tu mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial, mwenye umri wa miaka 22, ikiwa mchezaji huyo wa Croatian atapatikana. (Mirror)
Haki miliki ya pichaEPAImage captionSpurs bado wanatumai kumpata mchezaji wa safu ya kati Jack Grealish
Mlinzi wa Tottenham raia wa Ubelgiji Toby Alderweireld, mwenye umri wa miaka 29, amesalia kuwa ndiye anayepewa kipaumbele kusaini mkataba na Manchester United lakini the Londoners wanataka £55m au Anthony Martial ajumuishwe katika mazungumzo ya mkataba. (Independent)
Image captionAC Milan itatakiwa kulipa kitita cha Euro 62m kumpata Alvaro Morata anayeichezea Chelsea kwa sasa
Mmiliki wa Spurs Daniel Levy anaamini kuwa anaweza kusaini mkataba na mchezaji wa safu ya kati wa Aston Villa Muingereza Jack Grealish, mwenye umri wa miaka 22, kwa £20m. (Mirror)
Liverpool hawana nia ya kusaini mkataba na mlinzi wa Besiktas Domagoj Vida, mwenye umri wa miaka 29,licha ya kuwa na uhusiano na timu ya taifa ya Croatia. (Liverpool Echo)
Chelsea imeiambia AC Milan ilipe hadi £62m ikiwa wanataka kusaini mkataba na mshambuliaji Muhispania Alvaro Morata mwenye umri wa miaka 25. (Sky Sports)
Image captionDaniele Rugani wa Juventus huenda akahamia Chelsea
Maafisa wa Chelsea wamesafiri hadi Italia kusaini mkataba na mlinzi wa Juventus Daniele Rugani, mwenye umri wa miaka 23, lakini wanasitasita kutimiza kiwango cha thamani yake cha £40m (Times - subscription required)
Mmiliki wa Blues Roman Abramovich na mkurugenzi Marina Granovskaia watakutana mjini Nice kushauriana kuhusu malengo yao ya uhamisho wa wachezaji (Evening Standard)
Barcelona wako tayari kukubali pendekezo la Everton la kiwango cha £27m kumnunua mlinzi wa timu ya taifa ya Colombia Yerry Mina, mwenye umri wa miaka 23. (Goal)
Haki miliki ya pichaEMPICSImage captionWest Ham wanatafakari kumchukua mchezaji wa zamani wa kiungo cha kati wa Paris Saint-Germain Mfaransa Hatem Ben Arfa
Mchezaji wa Everton wa safu ya kati Muholanzi Davy Klaassen, mwenye umri wa miaka 25, anazungumza na Werder Bremen juu ya hatua ya kumnunua kwa zaidi ya £13m . (Liverpool Echo)
Crystal Palace na Everton wana azma ya kusaini mktaba na mchezaji wa kiungo cha kati wa Roma mwenye umri wa miaka 27 Mfaransa French Maxime Gonalons kwa £10m. (Evening Standard)
West Ham wanaangalia uwezekano wa kumchukua mchezaji wa zamani wa kiungo cha kati wa Paris Saint-Germain Mfaransa Hatem Ben Arfa, mwenye umri wa miaka 31, kwa bila malipo. (Foot365 via Sports Mole)
Mchezaji wa safi ya mashambulizi wa Arsenal na Ufaransa Thierry Henry anachunguzwa kwa ajili ya fursa ya kuchukua nafasi ya meneja baada ya Aston Villa kuamua kusalia na Steve Bruce kama mkuu wake. (Mirror)
Haki miliki ya pichaEPAImage captionThierry Henry anachunguzwa kwa ajili ya fursa ya kuchukua nafasi ya meneja wa Aston Villa
Brighton wanakaribia kusaini mkataba na mchezaji wa safu ya mashambulizi raia wa Ecuador Billy Arce mwenye umri wa miaka 20 kutoka timu ya Independiente del Valle. (Diario Expreso via Sport Witness)
Fenerbahce inataka kumchukua mlinzi wa Stoke Muholanzi Bruno Martins Indi, mwenye umri wa miaka 26, kwa mkataba wa deni la msimu. (Takvim - in Turkish)
Image captionBlackburn wameazimia kumchukua mchezaji wa safu ya kati wa Chelsea Muingereza Kasey Palme
Derby wako tayari kumuuza Mshambuliaji wa Czech Matej Vydra, mwenye umri wa miaka 26, kwa Leedskatika mkataba wa £11m, na watatumia pesa kumnunua mshambuliaji wa Ipswich Muingereza Martyn Waghorn mwenye umri wa miaka 28 (Sun)
Blackburn watasaini mkataba na mchezaji wa safu ya kati wa Chelsea Muingereza Kasey Palmer, akiwa na umri wa 21, kwa deni hadi mwishoni mwa mwaka huu . (Sky Sports)
Rangers wataangalia uwezekano wa kusaini mkataba na mchezaji wa safu ya kati Muingereza Kean Bryan, mwenye umri wa miaka 21 anayechezea Manchester City , ikiwa mchezaji wa safu ya kati wa Uingereza Josh Windass, mwenye umri wa miaka 24, ataondoka Ibrox. (Mail)
Hii ina maana Rais wa nchi hiyo Yoweri Kaguta Museveni atakua huru kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2021.
Kikao cha kutoa uamuzi huo uliowasilishwa katika mahakama kuu huko Mbale kilianza kwa naibu jaji mkuu, Alfonse Owiny-Dollo, kuanza kwa kuomba radhi kwa mahakama kuchelewa kuanza kwa muda uliopangwa awali.
Wanafunzi Tanzania wanavyopambana na unyanyasaji kwenye Usafiri.
Madai ya unyanyasaji wa kijinsia
dhidi ya walimu na wanafunzi katika shule za Nigeria huwa zinachukua
vichwa vya habari vya magazeti mengi nchini humo lakini taarifa hizo
huwa hazina muendelezo wowote wa hatua gani zimechukuliwa dhidi ya kesi
hizi .
Mwaka 2016,wasichana katika shule moja ya bweni mjini Lagos
waliacha kufanya mtihani na kuandamana kupinga unyanyasaji wa kijinsia
kutoka kwa mwalimu wa kiume.
Jambo ambalo watu wote walivumilia tabia kama hizo miaka ya nyuma waliwaunga mkono.
Mara
nyingi wanafunzi wanakuwa hawapo kwenye nafasi ya kujitetea
wanapokutana na wanyanyasaji kutokana na mila na desturi za kukaa kimya
na kuheshimu waliokuzidi umri.
Hali ambayo ni tofauti kwa binti
mdogo kutoka Tanzania ,Modesta Joseph mwenye umri wa miaka 15 ambaye
aliamua kutengeneza fursa kwa wanafunzi nchini mwake kutoa taarifa juu
ya unyanyasaji.
Modesta anasema wanafunzi wengi jijini Dar es
salaam wanakumbana na unyanyasaji kwenye upande wa usafiri wa daladala
unaowatoa nyumbani mpaka shule. Haki miliki ya pichaALAMYImage caption
Mara nyingi abiria huwa wanagombania kupanda dalada
Wanafunzi nchini humo huwa wanalipa fedha pungufu ya
kiwango anacholipa mtu mzima hivyo kuwafanya madereva na wasaidizi wao
kuona kuwa ni haki yao kuwanyanyasa na kuwazuia wasiingie kwenye
daladala zao ambazo huwa zinakuwa zinagombaniwa na idadi kubwa ya watu.
Gharama
ya nauli kwa wanafunzi kuwa tofauti na watu wazima ni changamoto kubwa
kwa wanafunzi hao maana wenye gani uona kuwapakiza wanafunzi hao ni
hasara.
Wanafunzi wengi hushindwa kuwahi darasani licha ya kuwa
walifika mapema katika vituo vya daladala na kupambana kwa masaa kadhaa
mpaka kupata usafiri.
"Mara nyingine ,kondakta huwa wanatupiga
,ukiwa ndani ya daladala wanaweza kukushika popote muda wowote
wanaojisikia,yaani huwa wanawashika kingono",Modesta aeleza. Haki miliki ya pichaAlamyImage caption
Wanafunzi uchelewa shule kwa kukosa usafiri
"Wanaweza hata wakakusuma wakati gari linaenda,siku
moja rafiki yangu alifanyiwa hivyo,Wengine hupata hata majeraha wakati
wanapogombania kuingia katika basi
na mara nyingi watu wazima huwa hawafanyi chochote zaidi yakuangalia tu".aliongeza Modesta
Fursa
hiyo aliyotengeneza Modesta ili kusaidia wanafunzi kutoa taarifa dhidi
ya unyanyasaji wa wanafunzi inayoitwa "Our cries" imewapa fursa kwa
wanafunzi hao kutuma ujumbe mfupi wa simu au kutumia mtandao wa kijamii
ili kutoa malalamiko yao na kwa wale wasiokuwa na simu,kuna boksi kadhaa
zimewekwa kwenye shule za sekondari jijini humo.
Jitihada hizi
zinashirikiana na mamlaka ya usafirishaji Tanzania inayojulikana kama
Sumatra ambao wanafanya kazi na polisi ili kuhakikisha kuwa malalamiko
yanayopelekwa yanafanyiwa kazi kwa wakati.
Mlalamikaji anaweza
kuandika jina lake au asiandike lakini lazima wataje namba za gari,na
daladala hilo lilikuwa linatoka wapi kwenda wapi na kutoa maelezo ya
kilichotokea. Haki miliki ya pichaOUR CRIESImage caption
Semina mbalimbali zinatolewa kwenye shule za sekondari
Kampeni hiyo ilianzishwa tangu mwaka 2014 na sasa
wamepokea mamia ya malalamiko na tunashukuru hata kwa stika ambazo
tuliziweka kwenye madaladala na semina ambazo tunaendelea kuzifanya
kwenye shule kuhusu kubadili mitazamo kwa wanafunzi maana kuna wengine
wanaoona kuwa ni sawa kwa wao kufanyiwa vitendo hivyo vya unyanyasaji.
Modesta
anafurahi kuona matokeo chanya ya kampeni hiyo ya Our cries yaani kilio
chetu.Kuna baadhi ya wahudumu wa daladala hizo wameshaadhibiwa na
Sumatra na polisi.
Anasema hata abiria wameacha kukaa kimya ,wameanza sasa kulalamika wakati kondakta anapoanza kuwa na utovu wa nidhamu.
57 wauawa kwa bomu katika kituo cha kujisajili, Kabul.
Watu 57 wamuawa katika shambulio la
bomu la kujitoa muhanga lililolenga kituo cha kuandikishia wapiga kura
katika mji mkuu Kabul nchini Afghanstan.
Taarifa kutoka mamlaka
mjini Kabul zinasema kuwa kati ya watu hao waliouawa kutokana shambulio
wakiwa katika mistari ya kujiandikisha kati yao wamo wamo wanawake 21 na
watoto watano,huku wengine 119 wakijeruhiwa pia.
Kundi la kigaidi la Islamic State (IS) wamesema kuwa wao ndiyo wanaohusika na shambulio.
Kazi ya uandikishaji wapiga kura nchini humo imeanza mwezi
uliopita ikiwa ni maandalizi kwaajili ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa
kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Taarifa kutoka ndani ya IS
zinasema kuwa mtu aliyetekeleza shambulio hilo alikuwa amevalia mkanda
wa vilipuzi na alikilenga kituo cha kujiandikishia cha eneo la Dashte
Barchi magharibi mwa Kabul. Image caption
Karatasi za kuandikishia wapiga kura zikiwa na damu
Dashte Barchi eneo lenye idadi kubwa Waislam wa Kishia ambao wamekuwa wakilengwa na kundi la kigaidi la IS.
Watoto
waliouawa katika shambulio hilo,walikuwa wamesimama pia katika mistari
ya watu waliokuwa wanajiandikisha jumapili asubuhi. Kituo cha mafunzo ya jeshi chavamiwa Afghanistan
Mlipuko
huo pamoja na kusababisha vifo lakini pia umeharibu magari magari.Hadi
sasa kumekuwa na mashambulio manne tangu kuanza uandikishaji huo wiki
iliyopita.
There have already been at least four attacks on such centres since voter registration got under way a week ago.
Kiungo wa kati wa Barcelona Andres Iniesta, 33, ataeleka katika klabu ya China mwisho wa msimu huu huku chupa bilioni mbili za mvinyo zikiorodheshwa katika makubaliano hayo.. (Marca - in Spanish)
Liverpool haina fursa ya kumsajili kipa wa Roma na Brazil Alisson, 25, mwisho wa msimu huu kulingana na rais wa klabu hiyo James Pallotta. (Sky Sports)
Image captionPaul Pogba na mkufunzi Jose Mourinho
Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho yuko tayari kumwacha kiungo wa kati aliyenunuliwa kwa kitita cha £89m Paul Pogba, 25, kuondoka klabu hiyo pamoja na mshambuliaji Anthony Martial, 22, beki wa Uholanzi Daley Blind, 28, huku beki wa Itali Matteo Darmian akitarajiwa kuuzwa. (Mail)
Darmian, 28, anasema kuwa atafanya uamuzi kuhusu ombi la uhamisho wake kutoka klabu ya Seria A Juventus mara moja. (Express)
Manchester City itampatia meneja Pep Guardiola kitita cha £200m za uhamisho baada ya kushinda taji la ligi , huku kiungo wa kati wa Napoli na Italy Jorginho, 26, pamoja na kiungo wa kati wa Shakhtar Donetsk ,24, raia wa Brazil Fred wakilengwa. (Mirror)
Image captionMkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp
Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp anatarajiwa kuanzisha tena mpango wake wa kutaka kiungo wa kati wa Napoli Piotr Zielenski. Klabu hiyo ya Itali iliishinda Liverpool kupata saini ya mchezaji huyo mwenye umri wa mika 23 2016.(Sun)
Trent Alexander-Arnold, 19, amesaini kandarasi ya muda mrefu na klabu yake ya Liverpool huku akitarajia mshahara wake kuongezeka maradufu.. (Mirror)
Haki miliki ya pichaAFPImage captionkiungo wa kati wa Lazio na Serbia Sergej Milinkovic-Savic, 23
Manchester United wametuma maskauti kumtazama kiungo wa kati wa Lazio na Serbia Sergej Milinkovic-Savic, 23, huku mkufunzi Jose Mourinho akitaka kuwasajili viungo wa kati wawili mwisho wa msimu.. (Mail)
Mshambuliaji wa Man United na Uingereza Marcus Rashford, 20, yuko tayari kuchelewesha kandarasi mpya na klabu hiyo baada ya kupuuzwa katika kikosi cha kwanza. (Sun)
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amekosoa hatua ya ligi ya Uingereza kuchelewesha matumizi ya mbinu ya VAR katika mechi.. (Times)
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionMoussa Dembele
Tottenham iko tayari kumuuza kiungo wake wa kati Mousa Dembele, 30, na tayari wamepata wachezaji wawili wanaoweza kuchukua mahala pake.. (Mirror)
Mshambuliaji wa Atletico Madrid Fernando Torres, 34, anatarajiwa kuipuuza ligi ya kwanza ya China na badala yake kuelekea ligi ya Marekani ya MLS baada ya kutangaza kwamba ataondoka Uhispania mwisho wa msimu huu.. (Marca)
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionKlabu ya Boca Juniors inataka kumsajili kipa wa Juventus na Italy Gianluigi Buffon, 40
Klabu ya Boca Juniors inataka kumsajili kipa wa Juventus na Italy Gianluigi Buffon, 40, na wanamtaka mchezaji mwenza wa zamani na mshambuliaji wa Argentina Carlos Tevez, kuwasaidia kumsajili. (Radio Continental via Mail)
Kiungo wa kati Ruben Loftus-Cheek, 22, bado hajaamua kuhusu hatma yake katika klabu ya Chelsea baada ya kuonyesha mchezo mzuri alipokuwa katika klabu ya Crystal Palace kwa mkopo . (Independent)
Image captionKocha wa Newcastle Rafa Benitez
Kiungo wa kati wa zamani wa Liverpool na Fulham Danny Murphy anasema kuwa mkufunzi wa Newcastle Rafa Benitez anaweza kuwa kocha mzuri anayeweza kumrithi Arsene Wenger katika klabu ya Arsenal. (Talksport)
Mkufunzi wa Southampton Mark Hughes anasema kuwa wachezaji wake lazima wafanye kazi ya ziada iwapo wanataka kuepuka kushushwa daraja.. (Guardian)
Haki miliki ya pichaBBC SPORTImage captionKlabu ya Wolves inataka kutumia £20m kumsaini kwa mkopo wachezaji Benik Afobe, 25, na Willy Boly, 27 - kutoka Bournemouth na Porto mtawalia
Klabu ya Wolves inataka kutumia £20m kuwasaini kwa mkopo wachezaji Benik Afobe, 25, na Willy Boly, 27 - kutoka Bournemouth na Porto mtawalia - kufuatia kupanda ngazi katika ligi ya Premia (Telegraph)
Winga wa Fulham Ryan Sessegnon, 17,anasema kuwa anataka kucheza katika ligi ya Premia licha ya klabu chungu nzima kuwasilisha maombi yao. . (Evening Standard)