57 wauawa kwa bomu katika kituo cha kujisajili, Kabul.
Watu 57 wamuawa katika shambulio la
bomu la kujitoa muhanga lililolenga kituo cha kuandikishia wapiga kura
katika mji mkuu Kabul nchini Afghanstan.
Taarifa kutoka mamlaka
mjini Kabul zinasema kuwa kati ya watu hao waliouawa kutokana shambulio
wakiwa katika mistari ya kujiandikisha kati yao wamo wamo wanawake 21 na
watoto watano,huku wengine 119 wakijeruhiwa pia.Kundi la kigaidi la Islamic State (IS) wamesema kuwa wao ndiyo wanaohusika na shambulio.
- Trump na Putin 'waafikiana kuwashinda Islamic State nchini Syria'
- Huenda kiongozi wa Islamic State bado yuko hai
Taarifa kutoka ndani ya IS zinasema kuwa mtu aliyetekeleza shambulio hilo alikuwa amevalia mkanda wa vilipuzi na alikilenga kituo cha kujiandikishia cha eneo la Dashte Barchi magharibi mwa Kabul.
Watoto waliouawa katika shambulio hilo,walikuwa wamesimama pia katika mistari ya watu waliokuwa wanajiandikisha jumapili asubuhi.
Kituo cha mafunzo ya jeshi chavamiwa Afghanistan
Mlipuko huo pamoja na kusababisha vifo lakini pia umeharibu magari magari.Hadi sasa kumekuwa na mashambulio manne tangu kuanza uandikishaji huo wiki iliyopita.
There have already been at least four attacks on such centres since voter registration got under way a week ago.
No comments:
Post a Comment